Vigogo Simba SC wameanza kwa kishindo raundi ya pili ya ligi kuu Soka Tanzania Bara kwa kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya wenyeji, Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Mhindi ...